Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Latest episodes
-
11 min
26 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina. Nchini kenya kunashuhudiwa mapinduzi makubwa katika utoaji huduma za matibabu ambapo sasa madaktari na wauguzi wanatoa huduma za kitabib…
-
Baada ya siku 21 bila dalili za ugonjwa, waambata wa mgonjwa wa Ebola Kenya kuondoka kwenye karantini
Oktoba 23 2026, ni siku 19 sasa tangu Kenya itangaze kuweko kwa mgonjwa wa Ebola ambaye alifariki dunia tarehe 6 mwezi huu wa Oktoba. Kufuatia tangazo hilo watu waliotambulika kuwa…
-
10 min
23 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina. Huko jijini Nairobi Kenya kunahitishwa mkutano wa kimataifa unaofahamika kwa jina The Trust Summit 2026 ulioanza tarehe 21 Oktoba ukiwal…
-
10 min
22 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina. Mwaka jana wa 2025 serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa kushirikiana na FAO waliendesha mafunzo ya kilimo cha migomba kinachohimili mabadi…
-
30 min
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "MAFINGU"
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "MAFINGU"
-
10 min
21 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina. Kwa vijana wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na migogoro, wakimbizi na wale wanaorejea katika jamii baada ya kutoka gerezani, kupat…
-
4 min
YEMEN: Vita vuazidisha njaa na magonjwa, zaidi ya watu 250,000 wakimba makazi yao
Zaidi ya watu 250,000 wamekimbia makazi yao kutokana na mapigano mapya nchini Yemen, huku uhaba wa chakula, maji safi na dawa ukizidisha hali mbaya ya kibinadamu. Umoja wa Mataifa…
-
11 min
20 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunaangazia amani na usalama nchini Yemen, hali ya wakimbizi wa ndani katika ukanda wa Gaza wakati huu wa majira ya baridi, na vijana kujikwamua kiuchumi nchini Ta…
-
3 min
WFP yasaidia vijana nchini Tanzania kuongeza thamani kwenye mazao ya kilimo
Nchini Tanzania, ushirikiano kati ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Wakfu wa Mastercard unalenga kuwawezesha vijana wajasiriamali na wakulima wad…
-
3 min
Huku sandarusi, huku mahema: Wakazi wa ukanda wa Gaza wanajiandaa na mafuriko na baridi kali
Wakati msimu wa baridi unapoanza, familia zilizohama makazi yao huko Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel zinajaza mchanga kwenye sandarusi tupu ya unga uliotolew…
-
3 min
UNICEF yaimarisha lishe ya watoto kupitia usindikaji wa vyakula Njombe nchini Tanzania
Nchini Tanzania, katika Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Ludewa kupitia mradi wa Lishe ya…
-
10 min
19 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunaangazia bioanuai na mazingira, lishe bora kwa watoto nchini Tanzania, na mbegu bora na utafiti wa kilimo nchini Kenya.Kutoweka kwa bayonuai kunaendelea kuvurug…
-
2 min
KALRO na harakati za kufanikisha mbegu bora kwa wakulima nchini Kenya
Kitengo cha mbegu cha shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo nchini Kenya, KALRO [KALRO] kinaendelea kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbegu bora na kwa bei nafuu ili wakulima hao…
-
3 min
Kulinda bayonuai dhaifu ya dunia kwapatiwa kipaumbele katika mazungumzo ya COP17 huko Armenia
-
3 min
Dunia ina chakula cha kutosha lakini mamilioni wanakabiliwa na njaa
Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Chakula Duniani hii leo, Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya njaa kama silaha ya vita, huku ukihimiza ubunifu, teknolojia n…
-
10 min
16 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunaangazia suala la uhakika wa chakula katika siku hii ya Chakula duniani tukikuletea ujumbe wa Katibu Mkuu. Pia tunamulika juhudi za wanawake Misri za kutumia mb…
-
3 min
Siku ya Chakula Duniani - Guterres ataka ubunifu na teknolojia kutokomeza njaa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa matumizi ya ubunifu, teknolojia na uwekezaji katika mifumo ya chakula ili kuhakikisha kila mtu anapata chakula sal…
-
3 min
Akili mnemba yawezesha wakulima wanawake vijijini nchini Misri kupata majawabu ya changamoto za kilimo
Suala la kuhakikisha ubunifu unatumika ili kuongeza tija kwenye kilimo linatekelezwa kivitendo huko nchini Misri ambako wanawake wakulima waliko vijijini kupitia usaidizi wa shirik…
-
10 min
Baada ya mgonjwa wa pili kuthibitishwa, WHO na Kenya wanaimarisha hatua za kudhibiti Ebola - Dkt. Kimambo
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, (WHO) nchini Kenya, limesema mgonjwa wa pili wa Ebola aliyethibitishwa jana na serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki hivi sasa ana…
-
10 min
15 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa. Mwezi uliopita wa Septemba, huko jijini Nairobi nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO) kwa kushirikiana na ser…