podcasts.eu.org

Jukwaa la Michezo

by RFI Kiswahili · 24 episodes

Sports

Website ↗ More by author

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.

Latest episodes

  1. Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1

    Mechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal, CA…

    24 min
  2. Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati y…

    24 min
  3. CAF: Raundi ya pili kufuzu Afcon 2027, Ronaldo aondoka katika kambi ya Ureno

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matukio na matokeo ya raundi ya pili kufuzu michuano ya Kombe la Mtaifa ya Afrika 2027, mechi za kufuzu Afcon U23 na U20, kocha wa Gha…

    24 min
  4. Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na Ceca…

    24 min
  5. Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard…

    24 min
  6. Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026

    Raundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki k…

    24 min
  7. Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa

    Tuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya Mabingw…

    24 min
  8. Michuano ya voliboli ya Afrika ya kina dada yaingia raundi ya mtoano

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya Volibol…

    24 min
  9. Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95

    Leo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini Af…

    24 min
  10. Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco

    Tuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la basketbo…

    24 min
  11. WAFCON yaingia mtoano, Rayon mabingwa wa CECAFA, CAF yamuunga mkono Infantino

    Tumeangazia uchambuzi wa matokeo na matukio kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kina dada inayoingia kwenye mtoano, droo ya michuano ya klabu bingwa, CAF yamuunga mkono rais Infantin…

    21 min
  12. Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup

    Leo kwenye kipindi tunaangazia WAFCON inayoendelea nchini Morocco - Kenya yaaga mashindano huku Tanzania ikisalia na matumaini lakini Nigeria na Afrika Kusini zimeanza kwa kusuasua…

    24 min
  13. CAF: Wafcon, mashindano ya jumuiya ya madola na Kombe la Cecafa yaanza

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya kina dada ya Afcon, Kombe la Cecafa, mashindano ya Jumuiya ya Madola, tetesi za uhamisho Ulaya na Afrika Mashariki, mahaka…

    24 min
  14. Ufaransa na Uingereza zaondolewa kwenye nusu fainali Kombe la Dunia

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja uchambuzi wa nusu fainali, mechi ya mshindi wa tatu na taarifa kuu kuhusu Kombe la Dunia kuhusu washindi kutuzwa pete pamoja na medali na kombe huku B…

    24 min
  15. Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani?

    Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa raundi ya 16 bora na robo fainali michuano ya Kombe la Dunia, Misri na Morocco zikiaga mashindano, Mbappe na Messi wang'ang'ania kiatu…

    24 min
  16. Kombe La Dunia 2026: Raundi ya 32 yakamilika, Morocco na Misri zafuzu 16 bora

    Tuliyokuandalia leo ni mkusanyiko wa matukio ya raundi ya 32, je ni wakati timu changa kuanza kutamba? Timu mbili tu za Afrika kati ya tisa zafuzu kumi na sita bora, nini kimeiponz…

    24 min
  17. Kombe la Dunia 2026: Timu saba za Afrika zafuzu hatua ya muondoano

    Hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia inafikia kilele hii leo, ni timu gani zimefuzu hatua ya mtoano? Wiki ya pili ya michuano hii imeshuhudia rekodi zikiwekwa na kuvunjwa huku ma…

    24 min
  18. Wiki ya kwanza Kombe la Dunia 2026. Matokeo na Matukio yaliyojiri

    Leo tumeangazia kwa undani matukio na matokeo yote ya wiki ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia 2026 - Mbappe, Messi waweka historia wakati Cape Verde na DRC zikihangaisha miamba w…

    24 min
  19. Kombe la Dunia laanza likitatizika kuwasha msisimko Marekani, Mexico na Canada

    Tumeangazia Kombe la Dunia 2026 kuanza kwa vikwazo kadhaa, raia wa Afrika waiunga mkono Mexico dhidi ya Afrika Kusini, uchambuzi wa mechi ya leo Brazili dhidi ya Morocco, DRC wakij…

    24 min
  20. Siku Tano tu kuelekea Kombe la Dunia: Mambo muhimu ya kufahamu

    Tuliyokuandalia leo ni mambo muhimu ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia, timu ya Iran na mwamuzi wa Somalia hatimaye wapokea visa zao, namna mataifa ya Afrika yamecheza kwenye mech…

    24 min
Nothing playing
0:00 / 0:00