podcasts.eu.org

Muziki Ijumaa

by RFI Kiswahili · 24 episodes

Music

Website ↗ More by author

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Latest episodes

  1. Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla

    Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla. Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.

    10 min
  2. Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026

    Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali

    10 min
  3. Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026

    Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali

    10 min
  4. Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026

    Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali

    10 min
  5. Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali

    Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali

    10 min
  6. Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu

    Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali

    10 min
  7. Makala Muziki Ijumaa, pata burudani

    10 min
  8. Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa

    10 min
  9. Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya

    Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize

    10 min
  10. Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati

    Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.Wiki hii tunasafiri kimuzi…

    10 min
  11. Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili

    Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.

    10 min
  12. Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali

    Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.

    10 min
  13. Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa,

    10 min
  14. Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda

    Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa

    10 min
  15. Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali

    Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

    10 min
  16. Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya

    10 min
  17. Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji

    11 min
  18. Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika

    Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.

    10 min
  19. Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa

    Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki…

    16 min
  20. Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa

    Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha

    10 min
Nothing playing
0:00 / 0:00