Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Latest episodes
-
10 min
Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla
Msanii Wachira Wa Karangatha amepata umaarufu nchini Kenya, baada ya kuachilia kibao Pricilla. Benson Wakoli aliketi chini naye, skiza makala kufahamu mengi.
-
10 min
Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026
Pata makala yako Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Ali Bilali
-
10 min
Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026
Ambatana naye Billy Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa julai 24 2026, Kumbuka pia kumfuatilia @billybilali
-
10 min
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026
Sikiliza burudnai hii ya Muziki Ijumaa na mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali. Usikose pia kumfollow kwenye mitandal yake ya kijamii. @billy bilali
-
10 min
Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali
Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow @billy bilali
-
10 min
Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu
Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali
-
10 min
Makala Muziki Ijumaa, pata burudani
-
10 min
Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa
-
10 min
Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya
Wiki hii mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amekuandalia burudani murua, toka kwa wasanii kama vile Fally Ipupa, Acid Vokoz, Chella, Okello Max na Harmonize
-
10 min
Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati
Karibu katika muziki Ijumaa, makala maalumu ya RFI Kiswahili inayokuletea vibao vya kukumbukwa vilivyoacha alama kubwa katika historia ya muziki wa dunia.Wiki hii tunasafiri kimuzi…
-
10 min
Kenya : Muziki ndani ya rfi Kiswahili
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi ya kuchagua muziki ndani ya makala ya muziki Ijumaa. Skiza makala ya jumaa hili.
-
10 min
Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji wako asipenda makuu Billy Bilali
Katika Makala haya mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Juma hili.
-
10 min
Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa,
-
10 min
Muziki Ijumaa ambapo tunakupa fursa kuomba muziki unaoupenda
Kenya kipindi hiki,ungana na Victor Moturi ,ambaye atamekuandalia burudani tosha ,burudikaa
-
10 min
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali
Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili
-
10 min
Muziki iliyoombwa na waskilizaji msimu wa maadhimisho ya Jamhuri nchini Kenya
-
11 min
Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji
-
10 min
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
-
16 min
Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa
Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki…
-
10 min
Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa
Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha