Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
Latest episodes
-
10 min
Awamu ya pili: Kongamano la masoko ya kaboni barani Afrika, Kigali
Pamoja na Bwana Zephaniah Kivungi, mkurugenzi wa tabianchi katika shirika la CIFF, tunaendelea na awamu ya pili ambapo nilikuahidi kuangazia ni kwa namna gani tunaweza kuhakikisha…
-
10 min
Afrika: Nini nafasi ya masoko ya kaboni katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi
Masoko ya kaboni, yapo kwa ajili ya kuwawajibisha watu na mashirika ambayo shughuli zao zinachangia katika uchafuzi wa hewa, ambapo wanahitajika kugharamia juhudi zinazofanywa na w…
-
10 min
Kenya: Sahihi Elfu sitini za kuitaka serikali kusitisha ukataji wa miti kwenye misitu ya umma
Madai ya wanaharakati pia yanaitaka serikali kusitisha mipango yoyote ya kutenga maeneo ya misitu kwa ajili ya matumizi mengine, kama vile ujenzi wa barabara, kudumisha marufuku ya…
-
10 min
Wanaharakati wa mazingira walalamikia athari za kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote Lamu
Licha ya faida za kiuchumi, mashirika ya mazingira na wanaharakati wa mazingira wanasema kiwanda hicho ni tishio kwa mifumo ikolojia ya eneo la Pwani pamoja na riziki ya jamii kati…
-
10 min
Je unafahamu umuhimu wa kuzuia upotevu na uharibifu wa chakula?
Mwaka huu ni maadhimisho ya saba ya siku ya kimataifa ya kutoa hamasisho kuhusu utupaji na upotevu wa chakula, ambao unachangia kati ya asilimia 8–10 ya utoaji wa gesi joto Lengo l…
-
10 min
Septemba 22, siku ya kimataifa ya kutotumia magari mijini
Wananchi katika miji mbalimbali ya dunia wanahimizwa kuacha magari yao binafsi nyumbani na kukumbatia mbinu zingine za usafiri zilizo endelevu kama kutumia baiskeli au kutembea kwa…
-
10 min
Kenya: Wanaharakati watoa mapendekezo mapya dhidi ya plastiki zinazochafua mazingira
Kenya inakabiliwa na changamoto ya plastiki zinazotumiwa mara moja tu kama vile mifuko inayotumiwa sokoni kupakia mboga ambazo huchangia katika uchafuzi wa mazingira licha ya kupig…
-
10 min
Kauli ya Rais wa Kenya William Ruto kuhusu wafanyabiashara wadogowadogo wa kigeni
Rais akisema wafanyabiashara wa ndani wanahitaji kulindwa. Agizo lake limeibua mjadala kuhusu nafasi ya wageni katika biashara ndogo nchini Kenya.
-
10 min
Kenya: Nyenzo(Tool) mpya inavyoanika matumizi ya ufadhili wa tabianchi Kenya
Matumizi ya ufadhili wa hali ya hewa imekuwa swala kuu kwa wadau wa mazingira, kutokana na mianya ya ufuatiliaji. Nchini Kenya, shirika la Transparency International, sasa linajari…
-
10 min
Kenya: Ubunifu wa unaogeuza magugu maji kuwa mifuko ya kupakia bidhaa na matumizi mengine
Kwa wavuvi katika ziwa Niavasha, kama vile Simon Macharia na Joseph Kimani, Magugu maji yamekuwa kero kwa muda mrefu, na wakati mwingine kuwasababishia hasara. Lakini sasa kutokana…
-
10 min
Kenya: Familia hatarini kutokana na kupanda kwa kiwango cha maji ziwa Naivasha
Familia katika kijiji cha Kihoto mjini Naivasha, zimeendelea kutaabika kutokana na athari za kupanda kwa kiwango cha maji kwenye ziwa Naivasha, na kusababisha maji kuingia kwenye k…
-
10 min
Kenya: Uchunguzi wabainisha uwepo wa kemikali hatari kwenye bidhaa za plastiki
-
10 min
El Niño: Wataalam waonya kuhusu mvua kubwa, mafuriko na joto la kali
Hali ya hewa ya El Niño inaendelea kuimarika kwa kasi na inatarajiwa kutawala katika kipindi cha kuanzia mwezi Agosti hadi Oktoba mwaka wa 2026, hali itakayoongeza uwezekano wa viw…
-
10 min
Fahamu kuhusu chanzo cha wimbi la joto kali linaloshuhudiwa Ulaya.
Wimbi la joto kali limekumba bara la Ulaya kwa muda sasa, hali iliyosababisha viwango vya juu vya joto katika nchi kadhaa na kusababisha maelfu ya vifo. Zaidi ya watu 300,000 wameh…
-
10 min
Juhudi za akina mama kuhifadhi fukwe za bahari pwani ya Kenya
Wakati mataifa mbalimbali duniani yakiongeza juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na uchafuzi wa bahari, nchini Kenya akina mama wamejitokeza mstari wa mbele…
-
10 min
Utengenezaji wa mkaa kutoka kwa mmea wa mianzi
Misitu ni sehemu muhimu katika mapambano ya dunia dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, hata hivyo misitu mingi ipo hatarini kutokan ana shughuli za binadamu. Fahamu kuhu mkaa unaoteng…
-
10 min
Mkutano wa Innovate4cities: Kuharakisha hatua za kukabili mabadiliko ya tabianchi kwenye miji duniani.
Mkutano huo ulioandaliwa na Global Covenant of Mayors for Climate and Energy (GCoM kwa ushirikiano na UN-Habitat, ulijadili mada tofauti kama vile sayansi ya tabianchi, sera na nam…
-
10 min
Mjadala waibuka kuhusu jinamizi la taka za nguo kwa mazingira
Kila wiki, mamilioni ya nguo za mitumba hufika katika masoko kama vile Gikomba jijini Nairobi, Kenya, au Kantamanto mjini Accra, Ghana. Takriban asilimia 40 ya bidhaa hizi zinazoag…
-
10 min
Usimamizi endelevu wa taka kwenye mazingira hauwezi kufanikiwa bila mchango wa wakusanyaji taka
Tunawaangazia wadau muhimu katika sekta ya usimamizi wa takan hapa tunazungumzia wakusanyaji taka, ambao mara nyingi mchango wao hupuuzwa nasa katika meza ya maamuzi kuhusu suala h…
-
10 min
Kuna haja ya serikali za Afrika kukumbatia mfumo endelevu ya kukabili taka ngumu kwenye mazingira.
Tatizo la uchafuzi wa mazingira kutokana na taka ngumu, bado ni changamoto katika miji mingi barani Afrika. Hata hivyo, hivi karibuni, kumekuwa na jitihada kwenye baadhi ya mataifa…