Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
Latest episodes
-
24 min
Mechi za kufuzu Afcon U20, U17, Olimpiki, Klabu Bingwa Afrika na F1
Mechi za kufuzu Afcon U20, U17 na Olimpiki ya 2028 zinaendelea, Raundi ya pili ya kufuzu mechi za klabu bingwa, Tanzania yabanduliwa kwenye mashindano ya Afcon mchezo wa futsal, CA…
-
24 min
Debi la Kariakoo Simba na Yanga, nani atashinda leo, Mkutano wa CAF wa Kimkakati
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na michuano ya kufuzu Afcon U23, U20 na U17, Olimpiki ya LA 2028, yaliyojadiliwa katika mkutano wa kimkakati wa CAF, debi la kariakoo leo usiku kati y…
-
24 min
CAF: Raundi ya pili kufuzu Afcon 2027, Ronaldo aondoka katika kambi ya Ureno
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa matukio na matokeo ya raundi ya pili kufuzu michuano ya Kombe la Mtaifa ya Afrika 2027, mechi za kufuzu Afcon U23 na U20, kocha wa Gha…
-
24 min
Raundi ya kwanza kufuzu AFCON 2027 imekamilika, Fainali za Netboli na Voliboli
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na matokeo na matukio ya raundi ya kwanza mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika 2027, fainali za mashindano ya netboli na voliboli Afrika na Ceca…
-
24 min
Riadha za 2029 zatua Nairobi, ziara ya Motsepe Afrika Mashariki
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nairobi kushinda haki za kuandaa riadha za dunia mwaka 2029, michuano ya voliboli Kombe la Mataif ya Afrika ya wanaume, golikipa wa Senegal Edouard…
-
24 min
Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026
Raundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki k…
-
24 min
Misri yashinda ubingwa wa Afrika voliboli, Tanzania na Uganda mabingwa Cecafa
Tuliyokuandalia ni pamoja na Misri kushinda ubingwa wa Afrika wa voliboli wa kina dada, Quieroz arejea Ghana huku Pitso Motsimane akiteuliwa kocha wa Afrika Kusini, Ligi ya Mabingw…
-
24 min
Michuano ya voliboli ya Afrika ya kina dada yaingia raundi ya mtoano
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na Nigeria kuapisha shirikisho la mpito kusimamia soka, Ethiopia yawasilisha ombi la kuandaa Afcon 2028, DRC yabanduliwa michuano ya Afrika ya Volibol…
-
24 min
Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, uwanja wa Talanta wafikia asilimia 95
Leo tunaangazia ushindi wa Cameroon taji la Wafcon, Patrick Vieira ndiye kocha mpya wa Senegal, Wanyonyi ang'ara riadha za Diamond League, bondia wa mwafrika kusini auawa nchini Af…
-
24 min
Malawi na Cameroon zatinga fainali michuano ya WAFCON 2026 nchini Morocco
Tuliyoangazia leo ni pamoja na uchambuzi wa matokeo na matukio ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kina dada inayofikia tamati wikendi hii, mechi za kufuzu kombe la dunia la basketbo…
-
21 min
WAFCON yaingia mtoano, Rayon mabingwa wa CECAFA, CAF yamuunga mkono Infantino
Tumeangazia uchambuzi wa matokeo na matukio kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika kina dada inayoingia kwenye mtoano, droo ya michuano ya klabu bingwa, CAF yamuunga mkono rais Infantin…
-
24 min
Darubini ya mashindano ya Wafcon, Jumuiya ya Madola na Cecafa Kagame Cup
Leo kwenye kipindi tunaangazia WAFCON inayoendelea nchini Morocco - Kenya yaaga mashindano huku Tanzania ikisalia na matumaini lakini Nigeria na Afrika Kusini zimeanza kwa kusuasua…
-
24 min
CAF: Wafcon, mashindano ya jumuiya ya madola na Kombe la Cecafa yaanza
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na kuanza kwa mashindano ya kina dada ya Afcon, Kombe la Cecafa, mashindano ya Jumuiya ya Madola, tetesi za uhamisho Ulaya na Afrika Mashariki, mahaka…
-
24 min
Ufaransa na Uingereza zaondolewa kwenye nusu fainali Kombe la Dunia
Tuliyokuandalia leo ni pamoja uchambuzi wa nusu fainali, mechi ya mshindi wa tatu na taarifa kuu kuhusu Kombe la Dunia kuhusu washindi kutuzwa pete pamoja na medali na kombe huku B…
-
24 min
Mbio za nusu fainali Kombe la Dunia, Kocha mpya wa Yanga ni nani?
Tuliyokuandalia leo ni pamoja na uchambuzi wa raundi ya 16 bora na robo fainali michuano ya Kombe la Dunia, Misri na Morocco zikiaga mashindano, Mbappe na Messi wang'ang'ania kiatu…
-
24 min
Kombe La Dunia 2026: Raundi ya 32 yakamilika, Morocco na Misri zafuzu 16 bora
Tuliyokuandalia leo ni mkusanyiko wa matukio ya raundi ya 32, je ni wakati timu changa kuanza kutamba? Timu mbili tu za Afrika kati ya tisa zafuzu kumi na sita bora, nini kimeiponz…
-
24 min
Kombe la Dunia 2026: Timu saba za Afrika zafuzu hatua ya muondoano
Hatua ya makundi kwenye Kombe la Dunia inafikia kilele hii leo, ni timu gani zimefuzu hatua ya mtoano? Wiki ya pili ya michuano hii imeshuhudia rekodi zikiwekwa na kuvunjwa huku ma…
-
24 min
Wiki ya kwanza Kombe la Dunia 2026. Matokeo na Matukio yaliyojiri
Leo tumeangazia kwa undani matukio na matokeo yote ya wiki ya kwanza michuano ya Kombe la Dunia 2026 - Mbappe, Messi waweka historia wakati Cape Verde na DRC zikihangaisha miamba w…
-
24 min
Kombe la Dunia laanza likitatizika kuwasha msisimko Marekani, Mexico na Canada
Tumeangazia Kombe la Dunia 2026 kuanza kwa vikwazo kadhaa, raia wa Afrika waiunga mkono Mexico dhidi ya Afrika Kusini, uchambuzi wa mechi ya leo Brazili dhidi ya Morocco, DRC wakij…
-
24 min
Siku Tano tu kuelekea Kombe la Dunia: Mambo muhimu ya kufahamu
Tuliyokuandalia leo ni mambo muhimu ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia, timu ya Iran na mwamuzi wa Somalia hatimaye wapokea visa zao, namna mataifa ya Afrika yamecheza kwenye mech…