Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
Latest episodes
-
10 min
Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema
Lydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi
-
10 min
Africa : Yashinikiza kujumuishwa kutunga sheria za AI
Mataifa ya Africa yamekuwa yakishinikiza kujumuishwa kweney sheria za kudhibiti matumizi za AI, ila ni kwa nini ? Skiza makala haya
-
10 min
Kenya : Matumizi ya AI yanazidi kuwa ngumzo duniani
Katika makala haya tunaangazia athari ya matumizi ya AI. Skiza makala
-
10 min
Kenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea. Skiza makala ha…
-
10 min
Kenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni Nchini Kenya, wengi hupata changam…
-
10 min
Kenya : Raia wa Burundi waondoka
Raia wa Burundi wameamua kuondoka nchini Kenya, kufutia kauli ya rais William Ruto kutaka wageni wanaofanya biashara ndogondogo kuwachia wenyeji kazi hizo. Skiza makala haya
-
9 min
Kenya : Wafanyibiashara waandamana kulalamikia kodi
Nchini Kenya mvutano mkubwa imebuka kati ya wafanyibiashara wadogowado na serikali na mapendekezo ya serikali kuongeza kodi. Skiza makala haya kufahamu mengi.
-
10 min
DRC : Wambote wataka kujumuishwa serikalini
Raia mbilikimo wataka kujumuishwa serikali nchini DRC. Skiza makala haya kufahamu mengi.
-
10 min
Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni
Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne ana…
-
10 min
Safari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi ka…
-
10 min
Kenya: Mawakili waandamana kudai haki
Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata. Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sik…
-
10 min
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji wa El Fasher. Skiza makala hay…
-
10 min
Haki za wakimbizi awamu ya pili
Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili…
-
10 min
EAC : Haki za wakimbizi duniani
Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadi…
-
10 min
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya
Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja. Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mw…
-
9 min
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti
Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa…
-
10 min
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare
Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pamoja na mwanaharakati ambaye an…
-
10 min
Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8
Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8. Skiza m…
-
10 min
Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama
Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani. Skiza makala haya kufahamu mengi skiza makala haya
-
10 min
Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala
Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari. Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.