Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Latest episodes
-
10 min
Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake
Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?…
-
9 min
Africa : Umaskini unatatiza bara Africa
Oktoba 17 dunia huadimisha siku ya kumaliza umaskini kwa wote. Bara Africa bado umaskini ni donda sugu, hapa mskilizaji anatoa maoni yake kuhusu swala hilo.
-
10 min
Vijana wengi Afrika hawawezi kumudu majukumu ya kifedha au kuishi maisha mazuri
-
10 min
Aliyekuwa rais wa DRC Joseph Kabila aunda chama kipya na waasi wa M23
-
10 min
Raia wengi wa Afrika wanajipata wamesajiliwa kupigana na Urusi kwenye vita Ukraine
-
10 min
Ongezeko la ajali za barabani katika mataifa ya Afrika Mashariki
-
10 min
Mzozo wa Sudan waendelea, kiongozi wa kijeshi akikataa mazungumza na RSF
Kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, ameapa kuchukua kila sehemu ya ardhi ya nchi yake iliyo chini ya udhibiti wa wapiganaji wa RSF, huku akikataa majadiliano…
-
10 min
Kenya imeripoti maambukizi ya kwanza ya virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo
-
9 min
Maadhimisho ya Siku ya kimataifa ya Walimu, kutambua mchango wao katika kujenga jamii
Licha ya hatua zilizopigwa, walimu kwenye nchi nyingi za Afrika wanalipwa mishahara midogo na wanafanya kazi kwenye mazingira magumu.Tunakuuliza je, walimu wanathaminiwa vya kutosh…
-
10 min
Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio mbalimbali ulimwenguni juma hili
Kila siku ya Ijumaa tunakupa nafasi uzungumzie jambo ambalo umeliwazia wiki hii au pia habari kuu ulizozisikia katika matangazo yetu ya juma hili.
-
10 min
Manufaa ya kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya.
Makala haya yameangazia mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu nchini Kenya, kitakachojengwa na Bilionea wa Afrika, Aliko Dangote, kiwanda hiki kikitarajiwa kuka…
-
10 min
Mbona matukio ya ukatili na mauaji ya wanawake yameongezeka Afrika?
Wiki hii visa vya wanawake kudhulumiwa na kuuwawa katika baadhi ya mataifa ya Afrika vimekuwa vikiongezeka, matukio ya karibuni ni kupatikana kwa miili zaidi ya 11 ya wanawake wali…
-
10 min
Hatua ya rais Salva Kiir kuvunja serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa Disemba
-
10 min
Wafanyakazi wa umma hadi elfu 10 nchini Kenya walipata ajira kwa udanganyifu
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka
-
10 min
Viongozi wa dunia wanakutana wiki hii kwa kikao cha kila mwaka cha UNGA
Idadi kubwa ni wale ambao wameajiriwa na bunge na tume ya uchaguzi na mipaka ,IEBC.
-
10 min
Siku ya kimataifa ya Amani inamaana kwa wananchi wengi ?
-
10 min
Maoni yako kuhusu maangazo yetu juma hili
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuja nafasi kuchangia mada yoyote kwenye kipindi cha Habari Rafiki.
-
10 min
Kenya kuandaa mashindano ya riadha ya dunia
Kenya imeteuliwa kuandaa mashinda ya dunia ya riadha. Skiza maoni ya mskilizaji.
-
10 min
DRC : Upinzani wapinga mpango wa serikali kubadili katiba
Upinzani nchini DRC wapinga mpango wa serikali kurekebisha katiba Shabarikiliza maoni ya mskilizaji .
-
10 min
Kenya : Raia wa Burundi wazidi kuondoka nchini Kenya
Raia wa Burundi wanaofanya baishara ndogondogo nchini Kenya, wamendelea kuondoka nchini humo kutokana tangazo la rais William Ruto kuwataka wageni kusajili biashara zao. Skiza maon…