Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
Latest episodes
-
10 min
Jinsi matatizo ya uti wa mgongo yanavyotibiwa bila upasuaji au dawa
Matatizo ya uti wa mgongo kwa muda yamekuwa yakitibiwa kwa upasuaji au dawa kali za maumivu pia wagonjwa kupewa vifaa vya kuwasaidia kutembea,kuketi na kusimama Daktari Hamisi Kote…
-
10 min
Kwa nini afya ya akili ni swala muhimu kwa wagonjwa wanaougua magonjwa sugu
Shirika la afya duniani ,WHO limesema watu zaidi ya milioni 150 barani Afrika wana hitaji huduma za afya ya akili. Kutokana na idadi hii inayopanda kila wakati ,watalaam wa afya wa…
-
10 min
Kifafa cha mimba bado kinasababisha vifo vingi vya akina mama na watoto Afrika
Kifafa cha mimba hali inayohusishwa na shinikizo kubwa la damu mama anapokuwa mja mzito kuanzia wiki 20 za mimba na inaweza kujitokeza pia pindi mama anapojifungua ,ni hali ya dhar…
-
10 min
Wagonjwa wa saratani wanavyochanganya matibabu ya hospitali na mazoezi
Wagonjwa wengi wa saratani mara nyingi huhisi kulemewa na madhara yanayotokana na matibabu makali ambayo wanabidi kutumia kwa muda mrefu. Kurahisisha safari hiyo kituo cha Faraja C…
-
10 min
Mchakato wa kupatikana chanjo mpya dhidi ya TB kufikia mwaka 2029
Chanjo mpya za kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu au TB zitakuwa tayari kufikia mwaka 2029 Hadi sasa chanjo 16 zimekuwa zikifanyiwa majaribio na ikiwa zitaidhinishwa zitaokoa mais…
-
10 min
Kwa nini kilimo sharti kuzingatiwa kumaliza njaa barani Afrika
Ripoti ya mashirika kadhaa ya umoja wa mataifa yameonesha Afrika bado ina watu wengi ambao wanakabiliwa na njaa. Hii ni licha ya Afrika kuwa sehemu inayofanya kilimo . Watalaam wan…
-
10 min
Kisukari inaendelea kuongeza idadi ya wagonjwa wa macho nchini Kenya
Magonjwa yanoyohitaji matibabu ya muda mrefu ukiwemo kisukari unaendelea kusababisha watu wengi kupata matatizo ya macho au kupoteza uwezo wa kuona
-
10 min
Afrika kukabiliana na usugu wa vimelea vifo vikitarajiwa kuvuka milioni 4
Kituo cha kuzuia na kudhibiti magonjwa barani Afrika ,Africa CDC kimeonya vifo vinavyohusishwa na usugu wa vimelea vinatarajiwa kuvuka milioni 4 mwaka wa 2050 Mashirika ya kikanda…
-
10 min
Mapambano dhidi ya Ebola Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Ebola imekamilisha siku 100 tangu ilipotangazwa na bado bado haijadhibitiwa Shirika la kimataifa la VillageReach miongoni mwa mashirika yaliyoalikwa na utawala wa Kinshasa kusaidia…
-
10 min
Kwa nini bima ya afya ya msafiri ni sharti muhimu kwa mataifa ya Afrika
Umuhimu wa bima ya afya kwa wasafiri ni pamoja na kupunguza gharama kwa taifa mwenyeji haswa wakati huu nchi nyingi hususan za Afrika zinashuhudia ongezeko la milipuko wa magonjwa…
-
10 min
Unaweza kuendelea kunyonyesha hata baada ya kutenganishwa kwa muda na mwanao
Imani kuwa mama na mtoto wanapotenganishwa inaweza kuathiri ubora wa maziwa ya mama inapotosha. Watalaam wanasisitiza maziwa ya mama hayawezi kuharibika kwenye titi. Aidha kunyonye…
-
10 min
Kwa nini watalaam wanahoji maumivu makali wakati wa hedhi si kawaida
Maumivu wakati msichana au mwanamke anapokuwa kwenye siku zake za hedhi, yanaweza kuwa ya kawaida ila maumivu haya yanapomfanya kushindwa na shughuli za kawaida si kawaida Dkt Domi…
-
10 min
Changamoto ya wanaume na wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa
Raia mmoja wa Kenya amefika kwenye bunge la kitaifa nchini Kenya akitaka swala la wanaume na wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa kuorodheshwa kuwa ulemavu Kwa mujibu wa dakt…
-
9 min
Visa vya kung'atwa na Nyoka vyaongezeka kaunti ya Turkana Nchini Kenya
Kaunti ya Turkana inaongoza nchini Kenya kwa visa vya watu kung'atwa na nyoka. Wataalamu wa afya wanasema mabadiliko ya tabianchi, joto kali na changamoto za upatikanaji wa huduma…
-
10 min
Mashirika ya kiraia Afrika yaanza kampeni dhidi ya madeni ya umma
Mashirika ya kiraia yanasema nchi za Afrika zinalipa deni na kuachwa na kiasi kidogo cha pesa kuendesha shughuli muhimu za serikali ,sekta ya afya ikiathirika zaidi Mashirika haya…
-
10 min
Kampeni kuhakikisha vyakula vilivyosindikwa vina maandishi ya kuonya
Tafiti kadhaa za kiafya zimebainisha magonjwa mengi yasiyoambukizwa yana uhusiano mkubwa na vyakula vilivyosindikwa na hali ya watu kukosa kuzingatia mazoezi ya kila mara. Kenya ik…
-
10 min
Kwa nini ni muhimu wanaume kuzingatia afya zao haswa afya ya akili
Mwezi Juni ni mwezi wa kutoa uhamasisho kuhusu afya ya akili miongoni mwa wanaume ,swala la afya ambalo hupuuzwa mno Daktari Dominic Osiemo anasema wanaume wana haki wa kuonesha hi…
-
10 min
Shule ya Mali jijini Nairobi inavyowasaidia watoto wenye Austism pamoja na wazazi
Katika mkakati wa kupunguza unyanyapaa kwa wazazi wanaowalea watoto wenye Autism shule ya Mali inatoa tiba nasaha na elimu kwa pamoja ikizingatia pia mahitaji ya wazazi wao ambao m…
-
10 min
Shinikizo kutaka mataifa kuja na sera endelevu na salama za uchukuzi
Shinikizo zinazidi kutolewa kwa mataifa ya Afrika kukumbatia sera za uchukuzi zilizo salama na endelevu ili kupunguza idadi ya vifo vinavyotokana na barabara na madhara ya ajali za…
-
10 min
Majanga yanaweza kusababisha matatizo ya afya ya akili miongoni mwa watoto
Mataifa ya Afrika yameshuhudia mafuriko katika miaka ya hivi karibuni ,hali ambayo imesababisha wananchi wengi kulazimika kuhama makazi yao Nchini Kenya ,ukanda wa magharibi ,katik…