Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
Latest episodes
-
10 min
DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi
Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa nchi hiyo na kuunda vuguvugu j…
-
10 min
Hali ya siasa nchini Kenya mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga
Ni mwaka mmoja, tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga. Kufariki kwake dunia, tarehe 15 mwezi Oktoba mwaka 2025, kumeacha…
-
10 min
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia
Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini kinaendelea Ethiopia na vita vina…
-
10 min
Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini
Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Rais Salva Kiir, anayetarajiwa ku…
-
10 min
Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo cha majibizano haya ? Victor A…
-
10 min
Hatima ya serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar
Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, amezindua Kamati ya pamoja ya majadiliano kati ya chama chake CCM na kile cha upinzani ACT Wazalendo, katika kile kinachoashiria hatua mpya kat…
-
10 min
Kenya yatoa siku 90 kwa wageni wasio na vibali halali kuvitafuta
Serikali ya Kenya, imewatangazia raia wa kigeni wanaoishi nchini humo bila vibali vya kuishi au kufanya biashara, kuvitafuta ndani ya siku tisini.Hii inafuatia kauli ya rais Willia…
-
10 min
Mpango wa rais Tshisekedi kuhusu mazungumzo yatafanikiwa ?
Mwishoni mwa mwezi wa Agosti, rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, alitangaza mpango wa namna mazungumzo ya kitaifa yatakavyofanyika, kusaidia kuleta utulivu…
-
10 min
DR Congo: Mvutano waendelea kuhusu mpango wa kuifanyia marekebisho katiba
Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Julai, iliidhinisha sheria tata ya kufanyika kwa kura ya maoni, ili kuifanyia katiba mabadiliko baada ya kupitishwa…
-
10 min
Kwanini kampeni za mapema zimeanza nchini Kenya, mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ?
Ni mwaka mmoja, kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya. Uchaguzi huo utafanyika tarehe 10 mwezi Agosti mwaka 2027. Wakenya watamchagua rais, Magavana, Maseneta, wabunge, wawakilishi w…
-
10 min
Maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania yatafanikiwa ?
Nchini Tanzania, maneno maridhiano na Katiba mpya, yameendelea kutawala vinywa vya wanasiasa na wananchi wa taifa hilo baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na vurugu wa Oktoba mwaka 2…
-
10 min
Kenya: Je, Seneta Edwin Sifuna anataka kuwania urais 2027 ?
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya 2027, nyota ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaonekana kuanza kung'aa. Sifuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM, sasa anaongoz…
-
10 min
Je, mazungumzo ya kitaifa nchini DRC yatafanyika ?
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amekubali kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili mivutano ya kisiasa likiwemo suala la kuibadilisha katiba na changamot…
-
10 min
Kwanini vita vya Marekani na Iran vimeanza tena ?
Marekani na Iran zimeanza tena kushambuliana, na kuzua wasiwasi wa kuendelea kwa vita vilivyoanza mwezi Februari 2026. Mashambulizi haya yamelenga kudhibiti eneo la Bahari ya Hormu…
-
10 min
Rais Ndayishimiye ataweza kuleta maridhiano kati ya upinzani na serikali nchini DRC ?
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, wiki hii amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani kutoka muungano wa C64 na viongo…
-
10 min
Kwanini vita vinaendelea mwaka mmoja baada ya DRC na Rwanda kutia saini ya mkataba wa amani ?
Vita vimeendelea kushuhudiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kati ya wanajeshi na waasi wa M23/AFC wanaotuhumiwa kuungwa mkono na Rwanda licha ya Kigali na Kinshasa…
-
10 min
Serikali nchini Uganda inatumia Mahakama kuwanyanyasa wapinzani ?
Nchini Uganda, mwanasiasa wa upinzani na Meya wa zamani wa jiji la Kampala Erias Lukwago anakabiliwa na mashtaka ya uhaini. Alikamatwa nyumbani kwake na wanajeshi kwa agizo la Mkuu…
-
10 min
Kenya kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano ya kisiasa
Serikali ya Kenya, itaanza kuwalipa fidia watu karibu Elfu Mbili, walioathiriwa na visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu, ikiwemo kuuawa, kubakwa, kutoweka na kujeruhiwa wakati wa…
-
10 min
Vijana nchini Kenya wanavyotumia teknolijia kuhamasisha elimu ya kisiasa
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vijana nchini humo, wanakumbatia teknolojia kuwafikia vijana wengi hasa wale wa rika la Gen Z, kujiandikisha kama wapiga kura na kuw…
-
10 min
DR Congo: Wanasiasa wachuana kuhusu mchakato wa kuifanyia marekebisho katiba
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kumeundwa miungano miwili ya kisiasa. Kundi la kwanza linaitwa "C4" linalounga mkono mabadiliko ya katiba, chini ya rais Felix Tshisekedi.…