Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
Latest episodes
-
20 min
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
-
20 min
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
Lumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili…
-
20 min
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
Paul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
-
20 min
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi
Egyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sana…
-
20 min
Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo
Sanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.
-
20 min
Tanzania: Muziki wa reggae Asilia na Ramadhani Yahaya Shaaban
Ramadhani Yahaya Shaaban Mwanamuziki wa Reggae aliyechanganya na Vionjo vya kabilala Wazaramo anajivunia sanaa ya Muziki wa Asili Tanzania.
-
20 min
Uchoraji wa pembe (Qubical Drawings) na Maria Magige kutoka Daria Arts
Uchoraji wa pembe(Qubical Drawings) ni sanaa inayozingatia uwasilishwaji wa ujumbe zaidi kuliko uhalisia wa picha. Katika makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili tumezungumza na Maria…
-
20 min
Tanzania: Uigizaji Radio na Kudra Kwingi
Uigizaji Radio ni mbinu ya kisanii ya kusimulia hadithi, kutoa elimu, au kuburudisha kwa kutumia sauti pekee , Kudra Kwingi ni Miongoni mwa waigizaji wanawake wa mwanzo nchini tanz…
-
20 min
Sanaa ya ucheshi na msani Abdul Chacha maarufu headmaster
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maaruf…
-
20 min
Sanaa ya ucheshi na ukuzaji wa vipaji kwa vijana wa Tanzania
Sanaa ya ucheshi wima ni aina ya ucheshi unaotokana na tofauti za hadhi, mamlaka au nafasi za watu katika jamii huku Mzaha ukitawala katika kuwasilisha Maudhui, Abdul Chacha maaruf…
-
20 min
Sanaa ya muziki wa asili ya walega nchini DRC
Nyumba ya sanaa juma hili imeangazia umuhimu wa kuwafundisha watoto lugha, usanii wamuziki za asili, na kujenga utamaduni wa kudumisha lugha za asili, mwanahabari wetu Reuben Lukum…
-
20 min
Nyumba ya sanaa: Muziki wa Kifipa
Wiki hii Steven Mumbi anazungumzia kuhusu muziki wa Kifipa
-
20 min
Joseph Issa Mohamed - Muigizaji wa Michezo ya Radio
Joseph Issa Mohamed, maarufu Onyango Muigizaji wa Michezo ya Radio, anakumbukwa, katika Makala ya ya Nyumba ya Sanaa.
-
20 min
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala
Muigizaji Nguli Bakari Mbelemba maarufu Mzee Jangala awataka Wasanii wachanga kutobweteka, Sikiliza Makala ya Nyumba ya sanaa.
-
20 min
Nyimbo na ngoma asili Bagamoyo Tanzania
Wiki hii tunaangazia sanaa ya nyimbo na ngoma za asili katika Mji wa Bagamoyo nchini Tanzania.
-
20 min
Uchoraji unavyowasaidia vijana kujimudu kimaisha
Licha ya kuwa na Shahada ya Utafiti wa Binadamu,Sanaa ya Uchoraji imempa fursa ya kumudu Maisha, Kutana na Cletus Kenedy.
-
20 min
Sanaa ya uchoraji na Jordan Katunzi
Mbali na kuwa na Talanta ya Uchoraji, sasa wachoraji nchini Tanzania wanasomea fani hiyo ili kufanya sanaa kwa ufanisi, Jordan Katunzi ni Mchoraji amezungumza na Steven Mumbi katik…
-
20 min
John Sombi Kafula, Mwanamuziki wa muziki wa asili kutoka kabila Wasukuma
Wasukuma ni kabila kubwa zaidi nchini Tanzania, linakadiriwa kufikia watu milioni 10, idadi inayowakilisha asilimia 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla, Wasukumua ni maarufu kwa Muziki…
-
20 min
Tanzania: Singeli na Mima
Wikendi kwenye makala ya nyumba ya sanaa, Mwandishi wetu Steven Mumbi aangazia muziki wa singeli na Mima.
-
20 min
Sanaa ya mjukwani
Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.