Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
Latest episodes
-
20 min
Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi
Yaliyojiri wiki hii ni pamoja na watu kadhaa wahofiwa kufukiwa na jengo lililoporormoka mtaani Eastleigh jijini Nairobi nchini Kenya, hali ya sintofahamu yaendelea kuzingira kisa c…
-
20 min
Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila
Makala hii imeangazia hatua ya rais mstaafu wa DRC Joseph Kabila kuzindua muungano mpya wa uasi wa FRN. Maadhimisho ya miaka 27 tangu alipoaga dunia mwasisi wa taifa la Tanzania mw…
-
20 min
Kenya hakuna mlipuko wa Ebola, ajali ya gari yaua 32 nchini Tanzania
Makala hii imeangazia kisa cha mgonjwa wa ebola aliyetokea DRC kufariki dunia, watu 32 wamepoteza maisha katika ajali ya barabarani mkoani Morogoro nchini Tanzania, na ujumbe wa wa…
-
20 min
Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe
Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja na uzinduzi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote, huko Lamu, pwani ya Kenya, mapigano yaendelea huko Ethiopia, kifo cha…
-
20 min
Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia.
Taarifa kuu utakayoskia kwenye makala haya ni pamoja na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwezi Disemba. Kwingineko nchini Ethiopia, mapigan…
-
20 min
Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC
Raia wa Burundi walivyokumbwa na masaibu jijini Nairobi, Kenya wengine wakaamua kuondoka, ajali ya mioto iliyotokea nchini DRC, kuanzia Kinshasa wakati wa sherehe ya harusi, kuja B…
-
20 min
Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli
Makala hii imeangazia maandamano ya wanaharakati wa Kenya wakidai kuachwa huru kwa wapinzani Tundu Lisu huko Tanzania, na Kiiza Besigye huko Uganda, wanaokabiliwa na mashitaka ya u…
-
20 min
Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23
Makala hii imeangazia kujiuzulu kwa makamu wa rais wa Tanzania Emmanuel Nchimbi, huku bunge limemwidhinisha Deogracias Ndejembi kuwa makamu mpya wa rais, na huko DRC rais Felix Tsh…
-
20 min
Ziara ya rais wa DRC nchini Tanzania, ushindi wa Hakainde Hichilema huko Zambia
Makala hii imeangazia ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi nchini Tanzania, mahakama ya Tanzania yasema kiongozi wa chama cha Chadema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu ya uhaini, rai…
-
20 min
Uchaguzi wa nchini Zambia, siasa za DRC, Kenya naTanzania kushika kasi
Uchaguzi wa urais na wabunge ulivyofanyika nchini Zambia wiki hii, na sasa wananchi wanasubiri matokeo rasmi, baada ya vurugu za siku ya Ijumaa, rais wa Kenya William Ruto aliongoz…
-
20 min
Mahakama ya haki yaratibu vikao vya kusikiliza kesi iliyowasilishwa na DRC dhidi ya Rwanda
Mahakama ya Kimataifa ya Haki wiki hii iliratibu vikao vya kuskiliza kesi iliyowaislishwa na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo dhidi ya Rwanda, ambapo Kinshasa inaituhumu Kigali kwa…
-
20 min
Kuzirai kwa kiongozi wa upinzani Uganda, mahakama ya katiba nchini DRC yaamua
Kinara wa upinzani nchini Uganda azirai akiwa mahakamani, mahakama ya katiba nchini DRC ilisema kwamba sheria iliyopendekezwa kuhusu kuandaa kura ya maoni katika nchi hiyo ni ya ki…
-
20 min
Watu zaidi ya 20 kuuawa mashariki mwa DRC, mchakato wa katiba mpya Tanzania
Shambulio la ADF laua zaidi ya 20 mashariki mwa DRC, ziara ya waziri mkuu Judith Suminwa huko Ituri, gavana wa zamani wa migori akutwa na hatia ya mauaji, huku rais Ruto akionya ku…
-
20 min
Matokeo ya uchaguzi mdogo Ol Kalou Kenya; rais wa DRC aitisha mazungumzo jumuishi
Miongoni mwa yaliyojiri wiki hii ni wapiga kura na wanahabari walivyoshambuliwa wakati wa uchaguzi mdogo Ol Kalau na kuzua hofu kuhusu uchaguzi wa 2027 nchini Kenya: wanafunzi wasi…
-
20 min
Makubaliano kati ya Marekani na Iran kuvunjika, maandamano ya mawakili wa Kenya
Yaliyojiri wiki hii ni kuvunjika kwa makubaliano kati ya Marekani na Iran, mazishi ya kiongozi wa kiroho wa Iran A.Khamenei, rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwaonya wanaharakati dhi…
-
20 min
DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran
Makala imeangazia maadhimisho ya miaka 66 ya uhuru wa jamahuri ya kidemokrasia ya Congo, kuanzishwa kwa majaribio ya dawa zizonaweza kuwa tiba ya Ebola aina ya Bundibugyo huko DRC,…
-
20 min
Maandamano ya Gen Z Kenya, ziara ya rais Ndayishimiye DRC,vifo Venezuela vyafikia920
Maandamno ya vijana wa Gen Z kuwakumbuka wenzao waliouawa katika maandamano ya mwaka wa 2024 nchini Kenya, kesi ya aliyekuwa meya wa jiji la Kampala Uganda Erias Lukwago, ziara ya…
-
20 min
DRC na kombe la dunia, pia ebola,Gen z kuandamana juni 25 Kenya,hali ya sasa Iran
Ni wiki ambayo imegubikwa na michuano ya kombe la dunia 2026 huko Marekani, wiki hii eneo hili la Afrika mashariki na kati lilichangamka baada ya timu ya DRC Leopards kutoka sare n…
-
20 min
Michuano ya kombe la dunia, hali ya Ebola kwenye ukanda
Ni wiki ambayo imegubikwa na maandamano kadhaa nchini huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, huko Nanyuki nchini Kenya, na watu kutoka nchi kadhaa za Afrika kuihama Afrika Kusini k…
-
20 min
Ufaransa yazindua mnara wa kumbukumbu ya genocide Rwanda, mgomo wa kitaifa DRC
Ufaransa yazindua mnara wa ukumbusho wa mauaji ya kimbari huko Rwanda kwenye jiji la Paris, wapinzani wa DRC juni 03 waliitisha mgomo wa kitaifa, watu zaidi ya kumi waliuawa katika…