podcasts.eu.org

Afrika Ya Mashariki

by RFI Kiswahili · 24 episodes

NewsPolitics

Website ↗ More by author

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.

Latest episodes

  1. Kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika

    Karibu katika ya Afrika mashariki hii leo macho na masikio ya Makala haya yanatazama kasi na mapokeo ya ueneaji wa akili mnemba barani Afrika tukienega katika Mkutano wa Kimataifa…

    10 min
  2. Je una ufahamu juu ya ulinzi wa taarifa binafsi ?

    Kasi ya ugunduzi na uvumbuzi katika maswala ya sayansi na teknolojia na ujio wa Internet sanjali na matumzi ya mitandao ya kijamii yanafanya wajamii kuwa katika hatari kumbwa kupot…

    10 min
  3. Tatizo la kifua kikuu (TB) katika mataifa ya Afrika Mashariki

    Maambukizi ya kifua kikuu yanaweza kuenezwa kwa urahisi katika miji mikubwa na maeneo ya umma ambapo kuna mkusanyiko mkubwa wa watu, kama vile vituo vya mabasi, masoko, na hata seh…

    10 min
  4. Tanzania: Namna wakaazi wa vijijini wanafikiwa na huduma za maji

    Namna wakazi wa maeneo ya vijijini wanafikiwa na huduma za maji nchini Tanzania.

    10 min
  5. Athari za mgogoro wa DRC katika mataifa ya Afrika

    Mgogoro wa Mashariki ya DRC umeendelea kwa miongo kadhaa, na bado ni moja ya changamoto kubwa za kiusalama na kisiasa Barani Afrika. Katika Mashariki ya DRC, kuna makundi ya waasi…

    10 min
  6. Umuhimu wa kutunza lugha mama katika jamii za Afrika

    Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na ms…

    10 min
  7. Namna wakazi wanaoishi karibu na migodi wanaweza kufaidika na shughuli hizo

    Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato…

    10 min
  8. Tanzania: Changamoto wanazokabiliwa nazo watu wenye Albinism mjini Mwanza

    Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na viten…

    10 min
  9. Safari ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la…

    9 min
  10. Tanzania: Kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa

    Wiki hii tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (UVIDA)

    10 min
  11. Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania

    Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia,…

    10 min
  12. Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji

    Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo ibuka vita vya majimaji mara hii ikiwa ni kum…

    10 min
  13. Wiki ya vijana ilivyoaadhimishwa mjini Mwanza nchini Tanzania

    Tunaangazia jinsi vijana wanavyoweza kutumia fursa za kidijitali katika kukuza na kuimarisha shughuli zao za kiuchumi mjini Mwanza nchini Tanzania.

    10 min
  14. Tanzania: Mradi wa Jenga Kesho Bora ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki

    Namna Mradi wa Jenga Kesho Bora (BBT), unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo nchini Tanzania ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria.

    10 min
  15. Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya lugha ya alama

    Jamii imetakiwa kujifunza lugha ya alama ilikuweza kuwasiliana vyema na watu wanaoishi na ulemavu wa kusikia.

    10 min
  16. EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana

    Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa…

    10 min
  17. Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki

    Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya n…

    10 min
  18. EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria

    10 min
  19. Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria

    Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada y…

    10 min
  20. Hofu kwa wavuvi wa biashara ya samaki Ziwa Victoria nchini Tanzania

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikiteleza kanuni za mwaka 2009 juu ya kulifunga ziwa hilo kwa muda wa siku 10 utaratibu huu umekuwa endelevu hadi sasa ambapo kila mwezi wavuvi hawaruh…

    10 min
Nothing playing
0:00 / 0:00