Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
Latest episodes
-
3 min
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
-
3 min
Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
Hatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana.
-
3 min
Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
Profesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.
-
3 min
Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
Kwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara...
-
3 min
Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
Safari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na kuambatana nao kuelekea katika dimbwi l…
-
3 min
Profesa Abubakar abainika kuwa bandia
Mambao yamekuwa mambo,Profesa Abubakar na daktarai wabainika kuwa profesa bandia na daktari bandia...fuatilia..
-
3 min
Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa Omar
Katika siku ya leo polisi wapata taarifa za madai kutoka kwa watekaji nyara wa Profesa Omar ambao wanadai pesa ili kumwacha huru.Endelea..
-
3 min
Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?
Kwamé na Nathalie wanatafuta kufungua jalada ya kompyuta ya mkononi ya Profesa Omar,ili wajue siri iliyopo nyuma ya kutekwa nyara kwa Profesa huyo, je, watafanikiwa? Sikiliza uburu…
-
3 min
Kwame bado anakabiliwa na changamoto ya kufika alipo Profesa Omar .
Katika makala haya tutamuona kwame akipata mkanganyiko baada ya kumuona mtu aliyemdhania kuwa ni rafiki wa profesa Omar, je ni nani mtu huyo? na nini kitatokea?fuatilia mchezo huu…
-
3 min
Je Kwame atakata tamaa kumtafuta Profesa?
Endelea kufuatilia mambo anayokumbana nayo Kwame katika harakati za kumwokoa Profesa Omar.
-
3 min
Kwame aelekea Niamey
Sehemu ya 12 ya Makala ya Talisman Brise inazungumzia kuhusu ushawishi wa Clement wa Kwame kuelekea Niamey kukutana na Profesa Kouaga
-
3 min
Kwame na uamuzi wa kuelekea Niamey
Kwame ampata Profesa Omar na kipande cha herizi yake, na sasa anaamuwa kwenda Niamey
-
5 min
Baada ya kuachiwa huru na polisi Kwame anaendelea na harakati za kumtafuta Profesa Omar, je atafanikiwa?
Katika mchezo huu jumapili ya leo Kwame anafikiria kumtumia mganga wa jadi ili kumpata Profesa Omar, fuatilia mchezo huu upate kufahamu mengi kutoka RFI
-
5 min
Kwame apewa maelekezo na Clement mtembezaji wa watalii
Clément, mtembezaji wa watalii wa Tondiedo, anaampa maelekezo juu ya tafiti ya profesa na profesa Kouada wanazofanya kwa ajili ya mimea...
-
5 min
Polisi yasema haitamchukulia Kwame kama gaidi
Polisi hawatamchukulia Kwame kama gaidi tena
-
3 min
Kwame ajibu maswali ya polisi
Kule kituoni, polisi wawili wanamuuliza masuali mazito. Ana jaribu kujibu kama anavyowezo. Mwishoni wanamwachia. Wakati anapoondoka anapata habari kuwa wateka nyara wa profesa Omar…
-
3 min
Kwame hana uaminifu na mtu
Kwamé hamuamini mtu na anaamua kupeleleza mwenyewe. Lakini anakamatwa na polisi ambao wanampeleka kituoni. Haelewi vizuri wanamtakia nini na anaishia mahabusu. Nathalie anamkana...…
-
5 min
Kwame anakutana na polisi wa kike,je atamsaidia kumpata Profesa Omar?
Katika muendelezo wa mchezo huu Kwame bado anaendelea na jitihada za kubaini wapi alipo Profesa Omar,ambapo leo anakutana na askari kujua nini kitajiri fuatilia mchezo huu.
-
5 min
Nini kitampata Kwame baada ya kufika Tondiedo?
Kwame bado anaendelea na jitihada zake za kumtafuta Proffesa Omar huko Tondiedo, Je atafanikiwa kumpata? fuatilia makala haya .
-
5 min
Kwamé anakutana na Clément
Kule Tondiedo, Kwamé anakutana na Clément, mtembezaji wa watalii na mwanafunzi Chuo Kikuu cha Niamey. Anamjua Profesa Omar. Hii inaweza kuwa sehemu ya kuanzia...Jioni kwenye mgahaw…